Kufungua au kuunda page au ukurasa wa Facebook ni rahisi sana fuatana nami mpaka mwisho 1.kwanza kabisa unachotakiwa kuwa nacho ni account ya Facebook ambayo unaitumia. 2.Hatua ya pili ,ingia katika account yako ya facebook. 3.Ukishaingia katika account yako ya Facebook shuka chini mpka mwisho wa page hiyo ya kwanza. 4.Unda ukurasa ndio neno ambalo utalibofya 5.Utapelekwa kwenye page ya kwanza ya kuunda ukurasa hapo utajaza jina LA page yako au ukurasa wako na pia category. 6.Baada ya hapo utabonyeza neno anzilishi hapo utakuwa umeshafungua page ya Facebook Unaweza ukatizama video hapa chini kwa muongozo zaidi ...kwa maswali zaidi usisite kuuliza