Kufungua account ya Facebook ni rahisi sana fuatana nami mpka mwisho . 1:hatua ya kwanza tembelea https://Facebook.com kufungua account yako kwa urahisi sana na kisha jaza kila kinachohitajika 2:ukishamaliza kujaza utabonyeza jisajili hapo utapokea ujumbe mfupi unao onyesha msimbo watakapo kuuliza msimbo basi jaza zile namba bila ya kukosea au unaweza...
Pata kujifunza vitu mbalinbali